Skip to main content

FUEGO

PRESSURE

COOKER

Imara Salama na Uhakika

Inapatikana kwa 140,000 TZS



KWANINI UTUMIE FUEGO PRESSURE COOKER ?


  • Rahisi zaidi kupikia
  • Inakuweza kupika chakula chako kwa kubonyeza kitufe kimoja tu , pia kuna vitufe vingi vya kwa aji ya vyakula mbalimbali


  • Inapunguza Gharama
  • Sahau gharama za mkaa na gesi zinazopanda kila siku! Fuego Smart Cooker inatumia umeme mdogo sana, ikikikupunguzia bili na kukuwekea akiba. Ni uwekezaji Bora kwa jiko la kisasa na familia yako.


  • Inaokoa Muda Wako
  • Fuego imeundwa kwa teknologia ya kisasa inayopika haraka na salama. Haijalishi unapika wali, ugali, makande, maharage, keki, maandazi, supu au nyama ngumu kila kitu kinakamilika kwa muda mfupi bila kupoteza ladha fuego inapika zaidi ya vyakula 44.


  • Inapika vizuri na kutunza virutubisho vya chakula
  • Kwa kutumia Fuego Smart Cooker utaboresha afya yako kwani huhifadhi virutubisho na vitamini kwenye chakula chako. Hakuna haja ya mafuta mengi au kupika kwa muda mrefu unapoteza virutubisho.


  • Usalama wa Kipekee
  • Imetengenezwa kwa mfumo salama wa pressure realese, lock system, kufunga vizuri na sensa za joto ili kuhakikisha hakuna ajali jikoni. Ni salama kutumia kila siku bila ya hofu.


  • Inadumisha usafi wa chakula, nyumba na mazingira
  • Wakati unapika chakula  Fuego inalinda usafi wa chakula na kutunza nyumba na mazingira yako.


  • Huondoa uchovu
  • Kwa kutumia Fuego Pressure Cooker mpishi hatumi nguvu, ana seti na kusubiria chakula chake.


  • Warranty na Huduma
  • Fuego ina warranty ya mwaka mmoja hivyo uko salama kutumia fuego bila ya kujali matatizo ya kiufundi na vile vile tunakupa huduma masaa 24 ikiwemo elimu juu ya matumizi.

Baadhi ya vyakula unavyoweza kupika na Fuego Pressure Cooker

IMARA

  • Fuego imetengenezwa kwa teknolojia thabiti na vifaa vya kudumu.

  • Ina uwezo wa kufanya kazi masaa mengi bila kuchoka au kuharibika.

  • Haijalishi unapika chakula kigumu kama nyama au laini kama mboga, joto linabaki sawa na matokeo hubaki bora.

SALAMA

  • Inakuja na udhibiti wa joto na presha, hivyo hakuna hatari ya kulipuka au kuungua chakula.

  • Haachi moto wazi wala moshi mwingi – rafiki kwa familia na mazingira.

  • Mfumo wa kuzima kiotomatiki hukupa uhakika hata ukisahau jikoni

UHAKIKA

  • Kila unachopika – iwe wali, pilau au nyama – unapata matokeo yale yale kila wakati.

  • Hakuna kubahatisha, hakuna kupoteza muda au chakula.

  • Uhakika wa ladha, ubora na kuokoa muda.